Tusipende kulaumu.Kama unachukia rushwa usipokee rushwa,kama unawachukia mafisadi nawe usiwe fisadi.Binadamu anamatukio mengi sana,kwanza atapinga rushwa huku anapokea rushwa,atapinga ufisadi huku yeye ni fisadi.Je wewe unayenyoosha kidole na kusema mtu fulani ni fisadi unauwakika na matendo yako mwenyewe?
Sunday, September 27, 2009
0 comments