ni barabara iliyo chakwaza lami,na wengi hufumbia miliama,
wakati waanza safari,utamu wapata katika basi,
gafla ashikapo breki dereva,roho huwa juu.
na breki kweli imeshikwa,lakini roho haiko juu.
Monday, October 5, 2009
ni barabara iliyo chakwaza lami,na wengi hufumbia miliama,
wakati waanza safari,utamu wapata katika basi,
gafla ashikapo breki dereva,roho huwa juu.
na breki kweli imeshikwa,lakini roho haiko juu.
Hodi hapa kibarazani nimepita kusalimia lakini sijakuta mwenyewe. ntarudi wakati mwingine.
karibu sana Dada.