zinanipeleka vibaya,
sioni raha ya maisha,
naishi kwa matumaini,
sina ladha ya matumaini,
moyo wangu umegubikwa na simanzi,
mawazo yangu kwake yananiumiza,
hisia zangu zaniumiza mwenyewe,
unafuu naupata,
funzo nimelipata.
Sunday, November 1, 2009
zinanipeleka vibaya,
sioni raha ya maisha,
naishi kwa matumaini,
sina ladha ya matumaini,
moyo wangu umegubikwa na simanzi,
mawazo yangu kwake yananiumiza,
hisia zangu zaniumiza mwenyewe,
unafuu naupata,
funzo nimelipata.
Pole kwa hilo kakangu. Mistari hii imenigusa kweli ahsante ila naamini furaha utajaliwa siku moja.
hiyo siku naisubiri kwa hamu sana Dada Yasinta.Napiga moyo konde.