Recent Posts

Nawashukuru sana kwa maoni yenu,nawashukuru sana kwa kupata muda na kusoma Worrior anasema nini.Nakwenda kwa mizumu ya babu zangu,kutafuta nguvu zaidi ili waafrika waishio ugahibuni warudi afrika.

Labda mimi ni nabii.

Serina nakuaga mpaka hapo Mfalme Haile Selassi atakapo penda Da Mija,Simon,D aYasinta,Kamala,Chacha,Mzee wa changamoto,Chib na wengine wengi AMANI IWE NANYI.

Iwapo Haile Selassi atanichukua kabla sijarudi basi muwe na amani kwani nitakwenda kuwaandalia makazi ya kudumu.

AMANI IWE NASI SOTE.

Posted by nyahbingi worrior. Wednesday, February 10, 2010

7 comments

 1. Safiri salama...na Jah Akawe nawe daima!

   
 2. Yasinta Ngonyani anasema:
 3. Nakutakia safari njeama sana na Mungu au chochote unachoamini viwe nawe . Na nina imani utarudi na kuwa nasi tena.

   
 4. Mija Shija Sayi anasema:
 5. Na mimi nina imani utarudi na watu wetu. Mungu akutangulie.

   
 6. Safiri salama na ludi salama kaka!

   
 7. chib anasema:
 8. Kila lililo jema likutangulie. Ufike salama na kurudi salama. Tunategemea kupata mafunzo mengi sana kila upatapo wasaa wa kuingia kwenye anga hizi.

   
 9. SIMON KITURURU anasema:
 10. Kila la kheri Rasta!

  Lakini mizimu ya Sheshamani na Jamaika inakubaliana na mizimu ya kwenu Uchagani?

   
 11. John Mwaipopo anasema:
 12. sheshamani ni wapi? ushamba kweli mzigo wa kuni.

   

Post a Comment

Followers

Popular Posts

Luihamu Ringo