Recent Posts

mimi ni nabii,
mimi sio nabii,
nabii naye huburi mila na desturi,
nabii naye hubiri civilization na globalization,
usinichukie,
barua pepe nimepata,
vitisho havifai,
nahubiri kurudi africa kwa upendo na amani,
si lazimishi,uamuzi tunao sisi.

Posted by nyahbingi worrior. Wednesday, February 10, 2010

0 comments

Post a Comment

Followers

Popular Posts

Luihamu Ringo