Recent Posts

Kama wewe ni mzuri kwanini hujaolewa? Na kama unajijua wewe ni mbaya kwa nini unatumia MAKE UP?

Swali?

Naomba jibu.

Posted by nyahbingi worrior. Thursday, July 26, 2012

3 comments

  1. Yasinta Ngonyani anasema:
  2. afadhali umeuliza hili swali maana huwa nakerwa sana na wanaofanya hivi sijajua kwa nini?

     
  3. Da Yasinta nami n ategemea kupata majibu toka kwenu.

     
  4. Yasinta Ngonyani anasema:
  5. sina jibu kwa vile sifanyi hivyo!!

     

Post a Comment

Followers

Popular Posts

Luihamu Ringo