Recent Posts

Kama umeolewa jiulize,uliolewa ikiwa BIKRA?

na..

Kama uliolewa bila kuwa bikra jiulize mara mbili.

Mwanaume ni kiumbe cha ajabu sana,licha ya mimi kujuwa wewe si bikra bado nikakuchukuwa na kukufanyia sherehe kubwa ya harusi yetu.

Kama uliolewa bila kuwa bikra jiulize kwa nini?Ni kipi ambacho kilikukimbiza kuanza kuchakachuliwa mapema?

Katika dunia ya leo ni vigumu kusikia au kumwona msicha bikra,kwanini?

Posted by nyahbingi worrior. Wednesday, April 13, 2011

3 comments

 1. SIMON KITURURU anasema:
 2. Mmmmmh!

   
 3. Mcharia anasema:
 4. Hamu zinawazingua wengi.

   
 5. hamna tofauti kabisa. Vilevile msichana anaweza kupoteza ubikira wake kwa kupanda baskeli tu. Sasa jamaani baskeli ni sawasawa na mwanaume???

   

Post a Comment

Followers

Popular Posts

Luihamu Ringo