Recent Posts

Kipindi cha pasaka,kipindi cha mateso,kipindi cha kuwafundisha watoto wetu ukweli kuhusu Yesu na filamu zinazorushwa hewani kipindi hiki cha siku ya Pasaka(sio sikuku ya pasaka).

Naamini kipindi hiki ni kipindi kizuri kwa wale wenye nyumba ndogo na kubwa.

Turudi katika MADA.

Mtoto anapoangalia filamu hii au hizi anajenga akilinimwake ya kuwa yesu ni Mzungu.Naamini hii ilikuwa njia moja wapo ya kututawala kiimani na hao wakoloni mamboleo.

Leo,sitojali cha mwenyeji au cha ugenini.Popote pale ilipo waambia familia yako ukweli kuhusu hiyo filamu ya pasaka.

Mshike mtoto wako,mme wako,dada yako,kaka yako begani mwambie Yesu ni Mweusi.

Heri ya Pasaka kwa wale wote waafrika waishio Afrika tu.

Posted by nyahbingi worrior. Friday, April 22, 2011

1 Responses to Cinema za Pasaka.

  1. Wakristo wengi watadai simuhimu rangi Yake; bali ni kwamba "alikuwa Mungu"

    Wengi wao wanaamini kweli Yesu alikuwa Mzungu kitu ambacho sikweli kabisa. Mama yake Maria hasaa ndiye alikuwa mswahili wa kupindukia labda kutoka nchini Sudan.

    Nchini Spain unaambiwa liko jumba kubwa lamakumbusho lenye jina ALHAMBRA THEATRE. Na ukibahatika kwenda huko utapata mfano wazamani kwenye pesa yenye picha ya Yesu... ni mswahili kabisa!

     

Post a Comment

Followers

Popular Posts

Luihamu Ringo