Recent Posts

Sio wote waingia bafuni huzingatia sheria na taratibu zinazo takiwa kusafisha sehemu ya mwili ambayo ni tako.Naamini tako ni sehemu ambayo inahitaji usafi na umakini wa hali ya juu undapo unakoga pia sehemu hii inahitaji umakini wa hali ya juu wa kunyoa vijinyele.Pia kuna wale watumia toilet paper au maji baada ya haja kubwa na pia kuna wale watumiao maji au toilete paper baada ya haja ndogo.Tujitahidi kuweka sehemu hiii iwe safi,tuwafundishe watoto wetu jinsi ya kusafisha tako au usafi wa tako.


Kama tunavyopendeza wakati tumevaa suruali na kupita mitaani na watu kuvutiwa nasi basi iwe ivo hivo wakati tumevua nguo.
USAFI NI MUHIMU KWA AFYA YAKO NA YANGU.

Posted by nyahbingi worrior. Friday, June 3, 2011

2 comments

  1. chib anasema:
  2. Nakubaliana nawe Kiongozi

     
  3. SIMON KITURURU anasema:
  4. Mmmmmh!

     

Post a Comment

Followers

Popular Posts

Luihamu Ringo