Recent Posts

Nilikuwa Mtwara zaidi ya siku tano,siku za karibuni.Nilisafiri kwa njia ya basi,niliondoka Dar asubuhi ya saa 12,niliingia Mtwara jioni ya saa 1 usiku.Kuna mengi ya kujifunza,kuona na pia kufurahi.

Nimefurahi sana kukutana na wanachuo wenzangu,nimefurahi kuona wengi wamefaula na wanazidi kujituma kusoma.Nimefurahi kufika chumba nilichokuwa nalala kipindi nikiwa chuo Mtwara.

Muda wote niliokuwa Mtwara sikuwahi kujaribu kula Ming'oko ila samaki nilikuwa kwa wingi tu.

Nimerudi Dar.

Posted by nyahbingi worrior. Saturday, June 11, 2011

1 Responses to MING'OKO.

  1. SIMON KITURURU anasema:
  2. DUH!

    Mimi Mtwara bado sijawahi kufika yani!
    Ntafanyia kazi swala hilo lakini!

     

Post a Comment

Followers

Popular Posts

Luihamu Ringo