Recent Posts

Ningependa kuelewa kwanini wasichana walikuwa wanakeketwa?

Je!kulikuwa na manafuu yoyote katika jamii?

Je!wasichana waliheshimu mila na desturi?

Je!wasichana walikuwa na maadili?

Je!kuna tofauti gani kati ya msichana aliye keketwa na yule ambaye hajakeketwa?

Msaada tafadhali.Nami bado naendelea kufanya utafiti.

Posted by nyahbingi worrior. Friday, April 22, 2011

1 Responses to UKEKETAJI.

 1. Ukeketaji ni Kiswahili kigumu sana kwangu, kwa hiyo nisamehe kama nimejibu nje ya tundu.

  Nahisi maana yake ni FGM, yaani FEMALE GENITAL MUTILATION.

  Binafsi ni namatatizo makubwa na vitu kama hivyo. Ghafla kwao [Mungu amekuwa mpumbavu na anaumba kiungo katika mwili wamsichana ambacho mjanja kuliko Mungu anapunguza ladha yake, urefu au upana wake]!

  Lakini ni mawazo yangu binafsi tu; mimi binafsi sikai nchini ambamo watoto wangu wakike watakatwakatwa ovyo au watavishwa "chupi ya chuma" (PURDAH) na waume zao ili eti wasifanye uasherati wakati waume zao haohao ndio waasherati wa kwanza kabisa... Ushamba huo kwangu, JAHMAN!

  (Vilevile ushamba huo unaambatana na ule ujinga wakuamini tendo la mapenzi ni tendo mwanamke analoliweza kwa viungo vyandani ya chupi tu... wangejuwa ukweli mbona wangekata hata midomo na ndimi za wasichana!!!)

  Vipi? Kwani ukeketaji halali Tanzania?

   

Post a Comment

Followers

Popular Posts

Luihamu Ringo