Recent PostsUsipotunza kucha zako madhara yake ndio kama haya,jitahidi kutunza kucha zako kwa kuzikata kwa kutumia wembe na sio meno.Nimekutana na watu wenye matatizo ya kucha,utamwona binti mzuri wa kuvutia lakini ukiangalia kucha zake,unamkinai.

Naamini mwanaadamu hahitaji make-ups ili apendeze.Napenda au kumpenda binti ambaye yuko natural.

Je,unajuwa hizi rangi za kucha zina kemikali?Je,unajuwa madhara ya kupaka kucha rangi?Wengine wamefikia hatua ya kubandika kucha bandia kwa kutumia super glue.Je unajuwa madhara yake?

BE NATURAL.

Zingatia..........

Tumelelewa kula chaqkula kwa kutumia vidole,inatia kinyaa pale mnakula kwa pamoja then kucha zako ni chafu,kucha ndefu,kwa ndani zinauchafu.Jifunze kukata kucha kwa kutumia nyembe nasio meno.

Posted by nyahbingi worrior. Friday, June 3, 2011

0 comments

Post a Comment

Followers

Popular Posts

Luihamu Ringo