Recent Posts

Binafsi sipendi ugenini,sipendi kuitwa mgeni.

Utakuwa mgeni mpaka lini?

Hivyo mnavyoweza kuvifanya ugenini pia mwaweza kuvifanya nyumbani.

Ugenini kwa mgeni ni mengi ya kudhalilisha kama vile mgeni lazima awe na visa,kibali,pasipoti n.k.

Kinacho nishangaza Nyahbingiworrior,mgeni licha ya kuwa ugenini bado anasimulia na kuandika yale ya nyumbani kama vile ya ugenini hawezi kusimulia au kuandika.Simlaumu,ila hawezi kuandika ya ugenini kwani hana historia ya maswala ya ugenini.

Swali...

Hivi wejeji wenu wa huko ugenini wakiahamia nyumbani ninyi mtakwenda wapi?

Posted by nyahbingi worrior. Wednesday, April 13, 2011

Followers

Popular Posts

Luihamu Ringo