Recent Posts

Jina au neno MAMA ni jina au neno ambalo linaheshima yake.Mama ni kiumbe muhimu sana katika familia na maisha.

Je,kunatofauti gani kati ya MAMA MZAZI na MAMA WA KAMBO?

Kwanini MAMA WA KAMBO HUTAZAMWA KAMA KIUMBE SHETANI?

lakini....

Wote hawa wawili wanatumia jina MAMA.

Je,msomaji wa nyahbingiworrior umewahi kulelewa na MAMA WA KAMBO?

Kila mama mzazi anampenda mwanaye,hakuna mama ambaye anaakili timamu asiye mpenda mwanaye.

SWALI........

Je,MAMA MZAZI ni nani?

Hivi uchungu wa mwana haujuae si BABA?

Katika mtazamo wa Nyahbingiworrior,MAMA MZAZI ni yule MAMA aishiye na kulea watoto wake katika bara la AFRIKA.

Posted by nyahbingi worrior. Wednesday, April 13, 2011

2 comments

 1. Yasinta Ngonyani anasema:
 2. Mama! nanukuu "mama ni mzazi wa kike aishiye na kulea watoto wake katika bara la afrika"Mwisho wa kunukuu. Je mama aishiye mabara mengine si mama?
  Kwa mimi mama ni yule mwanamke aliyenizaa kwa vile mama wa kambo naye ana watoto wake na anajua uchungu wake tu si uchungu wa wenzake ni ajabu sana kwani uchungu ni uchungu . Lakini kumbuka hakuna kama mama. mama ni mama huwezi kumfananisha na mwanamke yeyote yule... ni mimi nijuavyo..

   
 3. @Yasinta

  Mama wanaozaa watoto wanao makosa makubwa

  1. [Sisi mama zenu wazazi tutaishi milele]
  2. [Baba zenu hawana haki ya kuwoa tena bahati mbaya tukifa]

  Ndio maana watoto waliofiwa na mama zao wanapata matatizo sana ya kulelewa na mama wakambo, kwani mama zao wazazi waliwadanganya kuhusu maisha!!!!

   

Post a Comment

Followers

Popular Posts

Luihamu Ringo