Recent Posts

Hii ni kazi moja wapo chafu ya kiumbe bin adamu.Kazi hiyo ni utumiaji wa vidonge vya uzazi.

Swali.............

Je kama binti wa miaka 20 keshaanza kutumia hivi vidonge,je akifikisha miaka 50?

Ni nini maana ya kupanga uzazi?

Je,wewe msomaji mama yako angepanga uzazi leo hii ungelikuwa unasoma haya ya nyahbingi worrior?

Kama Mungu alivosema,enendeni ulimwenguni mkazaane,hakusema enendeeni duniani mkapange uzazi wa mpango.

Posted by nyahbingi worrior. Wednesday, April 13, 2011

0 comments

Post a Comment

Followers

Popular Posts

Luihamu Ringo