Recent Posts

Usiku wa jana nilikuwa na mazungumzo na Nabii Peter Tosh.Mazungumzo yaligusa sana swala zima la Blackstar liner na mambo mengine yanayotokeo Afrika.Nabii aliniambia hakuna kitu kipya kwani vyote vilishatokea. Nilimuuuliza Nabii,kwanini pindi ukiwa hai makazi yako yalikuwa ugenini? Nabii alinijibu,ni vigumu kuimba tungo za hisia na makazi yako yakiwa nyumbani kwani hawezi kuwatukuza wageni pamoja na sera zao. Huyu ndiye Nabii Peter Tosh,wazazi tuwafundishe watoto wetu kuhusu manabii hawa. Pia Nabii aliniambia huko waliko wako na Mfalme Haile Sellasi I,wanakesha na kuomba,wanasali kwa kupiga nyimbo za hisia na punde si punde tutakuwa sote pamoja.

Posted by nyahbingi worrior. Tuesday, April 5, 2011

1 Responses to Nabii Peter Tosh.

  1. Mcharia anasema:
  2. Mlikuyana naye vipi huyu nabii hadi kuanzisha maongezi ya hivyo??

     

Post a Comment

Followers

Popular Posts

Luihamu Ringo