Kama wewe ni mzuri kwanini hujaolewa? Na kama unajijua wewe ni mbaya kwa nini unatumia MAKE UP?
Swali?
Naomba jibu.
Thursday, July 26, 2012
Kama wewe ni mzuri kwanini hujaolewa? Na kama unajijua wewe ni mbaya kwa nini unatumia MAKE UP?
Swali?
Naomba jibu.
afadhali umeuliza hili swali maana huwa nakerwa sana na wanaofanya hivi sijajua kwa nini?
Da Yasinta nami n ategemea kupata majibu toka kwenu.
sina jibu kwa vile sifanyi hivyo!!