Recent Posts

jamani wana kijiji mpo?bado muda sana nitarudi.nimepata muda wa kutuma au kublog.
jamani nawamiss sana,tena sana.Huku niliko hakuna mtandao.

Posted by nyahbingi worrior. Monday, March 15, 2010

3 comments

 1. Yasinta Ngonyani anasema:
 2. Ni furahi kusikia toka kwako. Nasi pia twakumiss sana tu. Uwe na wakati mzuri!!

   
 3. Mija Shija Sayi anasema:
 4. Naungana na Yasinta kila la heri huko.

   
 5. SIMON KITURURU anasema:
 6. MmH JAmani angalau guna tena!Wengine tukipita hapa tunapata sababu ya kujipendelea kwa kuhisi unatutenga.:-(

   

Post a Comment

Followers

Popular Posts

Luihamu Ringo