Recent Posts

bahari ni safi,mazingira yanaridhisha lakini mkowa bado uko nyuma sana kimaendeleo.Huku neti ya kubahatisha lakini bado nawakumbuka wote,nimepita katika mashamba ya vilimo,mahindi na maharage bila kusahau karanga ni kwa wingi.Simon na wenzako mnao hamasisha tekinolojia njoo mtwara ujionee mkuu...heri jenbe kuliko tekinolojia.

Posted by nyahbingi worrior. Monday, March 29, 2010

4 comments

 1. Yasinta Ngonyani anasema:
 2. Mie hizo karanga tu usisahau angalao kiduchu tuu. Kila la kheri!!

   
 3. SIMON KITURURU anasema:
 4. Ujumbe umefika ntajitahidi kuingia eneo

   
 5. Kazi kwako ila usisahau korosho kaka.

   
 6. chib anasema:
 7. Ungepata na picha za huko ingekuwa safi sana kwa sie ambao hatujawahi kufika huko

   

Post a Comment

Followers

Popular Posts

Luihamu Ringo