Recent Posts

safari ilikuwa ndefu,nimerudi tena kwa muda kijiweni,nimekuwa nikiwakumbuka kila wakati,nimekuwa nikisumbuliwa na JUMUIYA YA WANABLOGU TANZANIA,niliota JUMUIYA imenzaa matunda kumbe sio ni yale yale,hakuna anayejali(who cares by the way wanavosema wao ambao wanadhani wako ughaibuni kumbe wako utumwani).

Tuache hayo.....Mapambano yanaendelea.

Mtwara,Ntwara,wenyeji au wengi wanasema mkowa DUME.Nimekaa Mtwara mienzi 5 au 6 hivi.Naweza sema Mtwara ni kama ndoto ya JUMUWATA kwani kila siku tunaota tu,hakuta utekelezaji.

Namshukuru Jah kwa kuniongoza,nimekutana na watu na binadamu wengi,nimekuwa huku na kule.

Kilimo.
Yule ambaye anahubiri tekinolojia ujue anakuongopea,anakudanganya,hakupendi kwanza anataka kukutokomeza kwani kama hao wanao hubiri tekinolojia waje kuishi Mtwara then wahubiri tekinolojia lakini sio kukaa katika mawe meupe kisha kupaza sauti tekinolojia wakati watu wanalima huku wamekaa chini na kijimbe kama mwiko.

Posted by nyahbingi worrior. Saturday, May 22, 2010

2 comments

  1. Bwaya anasema:
  2. rafsta tusaidie kufufuja JUMUwata naona hilo liko moyoni mwako kwa uzuri.

     
  3. kazi ni pana lakini si ngumu,wanablogu wanahojiwa lakini hakuna anayetaja nia ya JUMUWATA bali wanazisifu blogu zao tu nakusema mimi nimeblogu sasa miaka 7.

     

Post a Comment

Followers

Popular Posts

Luihamu Ringo