Recent Posts

Hiki kimekuwa kilio changu siku nyingi sana mpaka nikaoneka kuwa KERO.

Kwa mtazamo wangu ingekuwa vema zaidi kungekuwepo na Jumuiya ya wanablogu Tanzania then utowaji wa zawadi kwa kila blogu ambayo inafanya au imefanya kazi nzuri.

Ziko wapi zile siku tulikuwa tunajadili jinsi ya kuunda Jumuwata.Naamini imebaki Historia ambayo HAIJAKAMILIKA KUHUSU JUMUWATA.

Gwiji wa Blogu yuko wapi siku hizi,Naamini Gwiji aliaanzisha nasi tuendeleze lakini wale tuliowapa kura sijui wanawaza nini kuhusu hili.

Msije kusema nalauumu.la hasha bali nasikitika jinsi mambo yanavyokwenda.

Kwa sasa nafikiria kutafuta wadhamini ili tuweze kutowa zawadi kwa THE WORST BLOG OF ALL THE TIME.

ushauri.

Nafurahi kuona jinsi gani blogu zinaongezeka kila kukicha,VERY NICE.Jamani wengine tubaki kuwa wasomaji.

Posted by nyahbingi worrior. Saturday, June 25, 2011

0 comments

Post a Comment

Followers

Popular Posts

Luihamu Ringo