Recent Posts

Kuna yule ambye mtoto akifikisha umri flani hufanyiwa sherehe ya kuiga kwa jina la BIRTHDAY PARTY ambayo hata historia yake haelewi.

Kuna yule atumiae pampaers na kuna yule atumiaye vipande vya khanga.

Kuna yule atumiaye always na kuna yule atumiaye toilet papers.

LAKINI..

hawa wote huangazwa na jua moja na inyeshapo wote hunyeshewa vingene ni mbwembwwe tu.

Posted by nyahbingi worrior. Saturday, June 25, 2011

0 comments

Post a Comment

Followers

Popular Posts

Luihamu Ringo