Recent Posts

Kwapa ni sehemu ya kiongo ambacho wengi hupenda kukipulizi marashi ili sijui iweye.Umakini wa hali ya juu huhitajika wakati wakusafisha kwapa.

JIULIZE?

Kwanini wengi wetu hupuliza marashi makwapani na sio matakoni?

Hii inaonyesha moja kwa moja KWAPA ni sehemu nyeti ya mwili kuliko hizo sehemu nyeti uzijuazo.

UTATUZI.

Chukuwa kitambaa,pakaza sababi then safisha kwapa kwa dakika 30.

Chukuwa kiwembe kipya nyoa.

Posted by nyahbingi worrior. Saturday, June 25, 2011

0 comments

Post a Comment

Followers

Popular Posts

Luihamu Ringo