Recent Posts

Sio wote wenye nywele za msokoto wanaimani ya kirastafarian.Wengi wenye nywele za msokoto kwao ni kama fasheni.

KUNATOFAUTI KATI YA RASTA NA NYWELE ZA MSOKOTO.

Yeyote yule mwenye nywele za msokoto si rasta.

Rasta inamaana kubwa tena kwa upana mkubwa.

Unaweza kufuga nywele za msokoto kumfurahisha mke wako,wazazi wako,jirani zako na si KIIMANI.

Neno Rasta ni neno zito sana,neno Rasta linaweza kuhamisha milima na kugeuza ziwa kuwa pori.

Posted by nyahbingi worrior. Monday, June 27, 2011

0 comments

Post a Comment

Followers

Popular Posts

Luihamu Ringo