Recent Posts

Si ngoma mambo leo,
si kuukata viuno kama wafanyavyo leo,
ngoma iliyojaa ujasiri na ukombozi wa utumwa mambo leo,
ngoma ya capoiera.

Angola,Ghana,Senegali mpaka samba twacheza capoiera,
mau mau,ibo,yobuba,nyahbingi,boboshanti worriors wote twalicheza capoiera,
wewe je?
huwezi capoiera katika mikono yako na hao unaowathamini,
capoiera ya funguwa ubongo na mishipa ya damu nyeusi,
ndio nyeusi,
mweusi.
ngoma ya capoiera.

Posted by nyahbingi worrior. Friday, September 18, 2009

0 comments

Post a Comment

Followers

Popular Posts

Luihamu Ringo