Recent Posts

Je tunawezaje kupamba blogu zetu na maandishi matamu ya TEKINOLOJIA AU TEKNOHAMA wakati swala dogo tu la FAMILIA likiwa BUTU?Mwana blogu unawezaje kuandika makala ya kizazi kipya cha muziki wakati NDOA jingi zinateketea?

HAPO ZAMANI ZAKE.
Hapo zamani za kale NDOA ilikuwa inaheshimika sana,Ndoa ilikuwa ni kitu cha USHUJAA katika KOO mbali mbali.Ndoa ilikuwa na umuhimu wake licha ya wakati huo kukosa PETE ZA LEO ZA KUDHINI NA UASHERATI ULIOKITHIRI.Hapo zamani msichana na mvulana kukutana kama LEO KATIKA GUEST ilikuwa kosa kama kosa la jinai angalia LEO licha ya kupiga kelele bado msichana wa miaka 14 anajuwa MBORO ni nini,anajuwa utamu wa kuchokonolewa ni nini,anajuwa jinsi ya kupanuwa miguu.Hiki ni kiama sio UTANDAWAZI.

Hapo zamani hapakuwa na ukimwi licha ya ufinyu wa yenu madkari wa kisasa kutoka katika anga za vita.Hapo zamani JANDO NA TOHARA ilithaminiwa,Hapo zamani UNYAGO ulikuwa na maana yake na hapakuwa na yenu MATARUMBETA.

fAMILIA ndio chanzo cha jamii,bila familia hatuwezi pata jamii.Je nini maana ya baba na mama kulala kitanda kimoja?kwa nini kaka na dada wa familia moja wasilale katika kitanda kimoja?

Posted by nyahbingi worrior. Friday, September 25, 2009

1 Responses to umuhimu wa Familia.

 1. Hii imeendana kabisa na MAKALA niliyoiandika iitwayo NATAMANI ZAMANI.
  Inamaliziwa na itatoka wiki ijayo. Lakini la kujiuliza ni kuwa kwanini tunazidi kutafsiriwa maendeleo ilhali yanatubomoa zaidi?
  Kwanini usasa ni kinyume na mahitaji ya kisasa ya MWANADAMU HALISI?
  Kwanini kila "maigizo" ya magharibi yawe maisha halisi ya kwetu?
  Na pengine kujiuliza kwanini unaweza kuwa maarufu kwa kuandika ama kutenda ujinga na pumbavu kuliko yaifaayo jamii?
  UMENENA KAKA

   

Post a Comment

Followers

Popular Posts

Luihamu Ringo