Recent Posts

unajuwa binadamu wote tuko uchi ingawa tunajitahidi kuvaa nguo za aina tofauti tofauti?Je unajuwa maumbile ya binadamu kama yuko uchi ni sawasawa na wale vyura wanao patikana zaire?Binadamu si binadamu,binadamu ni mnyama hatari sana ingawa wanasema binadamu anatofautiana na mnyama kwa sababu anaupeo wa kutafakari.

Posted by nyahbingi worrior. Wednesday, November 18, 2009

0 comments

Post a Comment

Followers

Popular Posts

Luihamu Ringo