Recent Posts

sasa ni rafiki,
tulianza bila urafiki,
tulipendana bila chuki,
sasa ni marafiki.

twazungumza kirafiki,
twacheka kirafiki,
twaishi kirafiki,
kijongo sikitaki,
sasa ni marafiki.

Asante Serina kwa ushauri,
nami sina shari,
yote shwari,
Asante Serina kwa ushauri,
sasa ni marafiki.

Kapata ampendaje,
ajisifu kapata,
muda utasema,
kurudi sidhani,
kwani ashaapa,penzi letu limekwisha.

Posted by nyahbingi worrior. Thursday, November 26, 2009

0 comments

Post a Comment

Followers

Popular Posts

Luihamu Ringo