Recent Posts

Kuacha,kuachana,kutokuachana zote zinaambatana na HISIA.Kama huna HISIA kwa mtu fulani basi hiyo huwa TAMAA ya kimaumbile ya huyo umtamanie.

Kupenda kupo lakini chanzo cha kupenda ni HISIA,kama huna hisia kwa umpendaye basi hiyo ni TAMAA.

nA ni vema kuzionyesha hisia zako kwa umpendaye hata kama akikutosa,hata kama mmeachana.

Posted by nyahbingi worrior. Monday, November 2, 2009

0 comments

Post a Comment

Followers

Popular Posts

Luihamu Ringo