Recent Posts

Hii ni sehemu inayoaminika aliishi bwana Yesu Kristo huko Nazareth.Jamani kama bwana wetu mkombozi aliishi katika nyumba hii,mimi ni nani niishi katika nyumba kama hii hapa chini?


Mnaona tofauti?Mkombozi ambaye alikuja kwa ajili ya kuwakomboa watoto wake aliishi maisha ya kawaida kabisa lakini mimi na wewe tumefikia hatua na kuweka nyaya za umeme katika kuta za nyumba zetu za kifahari,halafu jumapili huyo na kitabu chako.

TUKUBALIANE KWA KUTOKUKUBALIANA.Posted by nyahbingi worrior. Wednesday, December 23, 2009

0 comments

Post a Comment

Followers

Popular Posts

Luihamu Ringo