Recent Posts

Usipoowa au kuolewa utajisikia mpweke?Vijana wengi wamezaka katika hili swala la kuoa au kuolewa.Katika makundi haya mawili,wanaume wanaweza kuvumilia hata wafikishe mika 45 bila kuowa kuliko dada zetu ambao hawawezi kufikisha umrio huo.Leo hii ukimtamkia binti utamuowa basi atafanya juu chini ili umweke ndani.

Swali.
Kwanini tunaowa na kuowana?Je tunaowa kwa sababu ya maandiko ya vitabu takatifu au kuridhisha nafsi?

Hivi usipoowa au kuolewa utakufa?

Ndoa ni nini?
Ndoa takatifu ni nini?
Je kwanini wengi huhimiza kupima afya kabla ya ndoa?
Je kunaumuhimu wakuoa ambaye si BIKRA?
Je unadhani ukiwa katika ndoa huto kinai tendo la ndoa?
Hivi BIKRA maana yake nini?

Posted by nyahbingi worrior. Monday, December 7, 2009

0 comments

Post a Comment

Followers

Popular Posts

Luihamu Ringo