Recent Posts

Rais wa Senegali Abdoulaye Wade ametangaza kuwapa ardhi watu walio athirika na tetemeko la ardhi huko Haiti.Soma hapa http://news.bbc.co.uk/2/hi/africa/8463921.stm

Hii ni habari njema kwani nimekuwa natamani kuona ndugu zangu wato waafrika walioko ughaibuni kurudi katika nchi ya ahadi(afrika).

Tukumbuke pia Mfalme Haile Selassi I walitoa eno kubwa kwaajili ya waafrika.(shashamene)

Kwaaa mbali naiona THE BLACK STARLINER.Anzeni kufungasha mizigo yenu,ikiwalemea muiache kwani mtapata mahitaji yenu ya kila siku.

kARIBUNI NYUMBANI.

Posted by nyahbingi worrior. Saturday, January 16, 2010

0 comments

Post a Comment

Followers

Popular Posts

Luihamu Ringo