Recent Posts


picha kwa hisani ya blog.ssis.edu.vn/.../

Ni nani kati yetu atatoa alichonacho na kumpa jirani yake?Nani kati yetu humkumbuka jirani yake kabla hajatia tonge la ugali katika kinywa chake?Wangapi kati yetu huweka familia zetu mbele huku yarani anataabika?wewe unitumiae mimi happybirtday,je wajuwa hawa nao wanatamani kuambiwa HAPPY BIRTHDAY?

Haki nawaambieni ni rahisi ngamia kupenya katika tundu la sindano kuliko tajiri kuona ufalme wa Haile Sellasi I.

Posted by nyahbingi worrior. Friday, January 15, 2010

2 comments

  1. Mija Shija Sayi anasema:
  2. Haya tuambie wewe umefanya nini Kaka Lui?

     
  3. Da Mija,mimi nimefunga siku 7,sili wala kunywa kwa ajili ya ndugu zangu huko Haiti.

     

Post a Comment

Followers

Popular Posts

Luihamu Ringo