Recent Posts

kati ya vitendawili vigumu au sugu ni hiki hapa.Naamini tumepewa miji mingi ya kuchaguwa ili tukiteguwe lakini wapi nduguzanguni.Sasa sijui what will happen.Tutembele hapa ili tuone tunaweza fanya nini.

http://blogutanzania.blogspot.com/

Posted by nyahbingi worrior. Wednesday, January 6, 2010

2 comments

  1. chib anasema:
  2. Sikuwa nikiijua hii jumuiya! Ndo kwanza leo nimepata ufunuo.
    Ndo ilikuwaje tena, mbona ipo kimya sana!!

     
  3. jumuiya iko kwemya kwa sababu sisi wenyewe tumeshindwa kuibeba,mwanzo tulipoaanza mwamko ulikuwa wa kusisimuwa na sote tulikuwa na nia ya wanablogu wa tz kuwa na jumuiya yatu.lakini gafla baada ya wawakilishi kuchaguliwa basi taratibu jumuiya ikaanza kudidimia,ni wajibu wetu sasa kuhamasisha kuhusu jumuwata.

     

Post a Comment

Followers

Popular Posts

Luihamu Ringo