Recent Posts

http://www.dailymail.co.uk/news/worldnews/article-1245646/I-survived-cola-beer-cookies-Man-Haiti-pulled-alive-rubble-11-DAYS-quake.html

Kwa sasa wengi tunaona au kusikia au kuangalia katika luninga kama picha ya filamu vile,wengi wetu licha ya tetemeko kuwakumba ndugu zetu wa Haiti bado tunapata muda wa kuvaa na kunukia vizuri huku tukila na kunywa bila hata kuogapa au kuwa na hofu.

Binadamu tumekuwa tunajijali sisi wenyewe kuliko jirani zetu kama tunabisha,je ni nani ambaye kati yetu ataacha watoto wake au familia yake ilale njaa na kuwagawia jirani zake?

Angalia hiyo picha kwa makini alafu isikilize nafsi yako.

swali.
hivi jirani yako ni nani?

Posted by nyahbingi worrior. Sunday, January 24, 2010

2 comments

  1. Yasinta Ngonyani anasema:
  2. Usemayo ni kweli kabisa na hivi juzi rtu Nimekumbuka wanangu walipokuja nyumbani toka shule walikuwa na masikitiko makubwa sana wakilalamika kuwa leo shuleni kwao wametupa chakula kingi kweli wakati watoto wengine hawana kabisa. Niliungana ni kweli kabisa . Lakini pia tukumbuke kuwa sisi pia lazima tule na kuvaa na kufurahi kwani maisha haya ni mafupi.

     
  3. Da Yasitha,

    ni vema kama bado wakiwa wadogo wakijuwa kuna wale ambao hata tone la maji kwao ni shida.

     

Post a Comment

Followers

Popular Posts

Luihamu Ringo