Recent Posts

rafiki kipenzi,
uko wapi kipenzi,
u sharudi kipenzi?
kama upo,nitumie sms kipenzi,
tukutane samaki,
tule samaki,
rafiki kipenzi.

Posted by nyahbingi worrior. Friday, June 18, 2010

3 comments

 1. na kama kaacha kula samaki je?

   
 2. Mija Shija Sayi anasema:
 3. Naomba sana siku moja Mola akutimizie ndoto yako.

   
 4. Mkuu Chacha,anaweza kweli?


  Da Mija,ngoja tusubiri hiyo siku.

   

Post a Comment

Followers

Popular Posts

Luihamu Ringo