Recent Posts

picha kwa hisani ya http://florasalon.blogspot.com/

Hivi umewahi kuwaza kama mimi au unaweza kuwaza nayo yawaza? Au tunaweza kuwaza pamoja?

Hivi ingekuwaje wanaume nao wanavaa mawigi?Inaaman tungekuwa tunakesha kwa wasusi.Inamaana mama na baba wangekuwa wanavaliana mawigi?

Embu nikuulize wewe mvaa wigi,unapata raha gani uvaapo wigi?Au unalivaa kumfurahisha jirani?

Posted by nyahbingi worrior. Saturday, July 10, 2010

6 comments

 1. Mija Shija Sayi anasema:
 2. Mbona wakongoman wanavaa sana na kusuka sana, wanapaka vipodozi usoni na hata kutinda nyusi. Tena siku hizi si wakongo peke yao...

   
 3. Yasinta Ngonyani anasema:
 4. mmhhh:-(

   
 5. Da Mija kweli?

  Da Yasinta,,,,,

   
 6. Nashangaaaa kama wewe. Labda tunaojiuliza maswali kama hayo ni washamba na wajinga..lol!

   
 7. mwandani anasema:
 8. kuna wengine wanaona haya kuonyesha kiaraza basi wanajaribu kufichaficha.

   
 9. Kwa uhakika,tutumiavyo twajikata wenyewe,twataka kuonekana ndivyo sivyo machoni mwa bin adam.

   

Post a Comment

Followers

Popular Posts

Luihamu Ringo