Recent Posts

Kwa hali ya kawaida huwezi kujuwa kama uko vitani,
tunadhani tunaishi mbinguni lakini tuko vitani duniani,
vita ambavyo havitumii silaa wala silaa za maangamizi,
vita ambavyo mwenye hela hamthamini maskini,
vita ambavyo ndoa zinasabaratika licha ya vita vya peta na madhabauni.
Tuko vitani na katika vita lazima kuwepo na vifo,
vifo ambavyo hata kwa bullet broof(condom) bado wapiganaji wanakufa.

vita vinapiganiwa angani,
vita vinapiganiwa nchikavu,
vita vinapiganiwa majini.

Posted by nyahbingi worrior. Tuesday, August 3, 2010

1 Responses to tuko vitani.

 1. Anonymous anasema:
 2. Vita ni vya hali na mali,
  Uiweke hiyo kwa akili,
  Vyote vyaenda mtu mbili,
  Kama pacha walio wwawili.

  Ukiwa huna mali utabikia chali,
  Wenza hawatakukubali
  Watakuita kibakuli
  Hata kama una hali,

  Na dhihaka za

   

Post a Comment

Followers

Popular Posts

Luihamu Ringo