Recent Posts

Sidhani kuna yoyote mgeni katika hili la foleni Dar.

Kuhusu foleni napendekeza yafuatayo.

1.Baadhi ya ofisi katikati la mji zihamishe.
2.Kudhibiti ungezeko la magari yasiyokuwa na viwango barabarani.
3.Barabara ya magari makubwa na madogo kutofautishwa.
4.Kutumia baiskeli au pikipiki.

Posted by nyahbingi worrior. Tuesday, August 17, 2010

2 comments

  1. Anonymous anasema:
  2. Naongezea: Barabara zisizo rasmi ambazo zinaweza kutumika zifufuliwi, pia kuwa na utaratibu magari yaende wakati wa kurudi hayarudii barabara hiyo, kwani hiyo inawezekana kama hizi barabara nyingine zitafufuliwa.

     
  3. Yasinta Ngonyani anasema:
  4. Nakuunga mkunono kabisa hasa namba nne! na pia naongezewa usafiri wa tren uanze.

     

Post a Comment

Followers

Popular Posts

Luihamu Ringo