Recent Posts

It doesn't matter where your graduated from,
it doesn't matter if you graduated from oxford to mbuyuni,
what matters is that we all will die tomorrow.

Posted by nyahbingi worrior. Saturday, December 25, 2010

3 comments

  1. Yasinta Ngonyani anasema:
  2. Sio uwongo ni kweli kabisa! Ahsante kwa hili!

     
  3. Existentialist view. Swali ni kwamba tufanye nini? Tukae tu na kusubiri hiyo kesho ifike tufe au? Au watu wasiende Oxford na Harvard? Na wakati mwingine hiyo kesho inaweza kuchelewa sana hasa kama mtu una ugonjwa mbaya na wenye kuleta maumivu.

    Lakini pia ni angalizo zuri hasa kwa watu wenye tamaa ya kujilimbikizia mali zikiwemo hizi za wizi. Kwa mfano, Wikileaks imetoboa kwamba rais wa Sudan amejilimbikizia dola BILIONI tisa katika mabenki ya Uingereza na kwingineko Ulaya. Sasa dola bilioni tisa jamani za nini kwa mtu mmoja? Akifa kesho atamwachia nani? Inabidi tufike mahali kama binadamu tuwe na kikomo cha tamaa, uchu na ulafi kwani kifo kipo kinatusubiri!

     
  4. @Da Yasinta umenena lakini baada ya kujuwa ni ukweli umechukuwa hatuwa gani?

    @MMN hahaha nimenukuu "Existentialist view. Swali ni kwamba tufanye nini? Tukae tu na kusubiri hiyo kesho ifike tufe au? Au watu wasiende Oxford na Harvard? Na wakati mwingine hiyo kesho inaweza kuchelewa sana hasa kama mtu una ugonjwa mbaya na wenye kuleta maumivu".

     

Post a Comment

Followers

Popular Posts

Luihamu Ringo