Recent Posts

Wangapi kati yetu wamepata nafasi ya kuishi Mtwara?

Mtwarav ni mkowa ambao unapatikana kusini mwa Tanzania,ina wilaya kama newala,masasi,tandahimba n.k

Nimeishi Mtwara mwaka mmoja lakini sijawahi kula au kutafuna korosho(Maajabu,samahani kwa wale ambao mko ugenini,kila kitu mnapata?)

Mnaipata MIN'GOKO,ni aina fulani ya mizizi,je mwatuwa matumizi yake?

Baaaa!!!!!!!!!!(kusoma usome wewe nyerere je?)

Mtwara Raha,,,,,Mtwara by night.

Mtwara inabeach safi sana,beach za kawaida ni safi sana,hakuna harufu mbaya maaeneo ya beach.

Mtwara utapata samaki wa kila aina,wakazi wa mtwara ni wauungwara sana.

Ingawa unamapungufu Mtwara nakumiss sana Mtwara.

Posted by nyahbingi worrior. Sunday, December 26, 2010

0 comments

Post a Comment

Followers

Popular Posts

Luihamu Ringo