Recent Posts

Hivi yesu wa ugenini aliposema msamehe aliyekukosea mara 77alikuwa anamaanisha nini?

Mimi na wewe ni mara ngapi tumesamehe na tukasamehewa?

hivi wewe ukimkuta mme wako anatiana na msaidizi wenu wa wandani wa kike utamsamehe?

hivi kuna makosa ya kusamehe na kuna makosa yasiyo sameheka.

hivi kati ya sheria na msamaha kipi bora?

Posted by nyahbingi worrior. Saturday, March 5, 2011

1 Responses to umeshasamehe mara ngapi?

  1. SIMON KITURURU anasema:
  2. Kama kuna mtu anakumbuka kasamehe mara ngapi labda huyo hajawahi kusamehe!

    Nawaza tu kwa sauti!:-(

     

Post a Comment

Followers

Popular Posts

Luihamu Ringo