Recent Posts

Sijui ni laana,sijui ni ulimbukeni,sijui ni nini.

Mungu kakujalia umeoa na watoto kakubariki lakini bado unakuwa na mahusioano na mke wa mwanamme mwingine.

Bibilia inasema nini kuhusu hili...

ALAANIWE MWANAUME AU MWANAMKE ATEMBEAYE NA MKE AU MME WA MTU MWINGINE.

Tamaa itatuponza,adhabu yake hatutoipooza.

Posted by nyahbingi worrior. Tuesday, April 26, 2011

2 comments

  1. emu-three anasema:
  2. Sema wewe sema...ukweli unauma, lakini huo ndio ukweli!

     
  3. Kweli mkuu,unajuwa bin adam anaaminika kuwa na akili kuliko kiumbe chochote kile lakini akili hii inamfanya asiweze tena kufikiri.

     

Post a Comment

Followers

Popular Posts

Luihamu Ringo