Recent Posts

Kwanini tunalia?Je inaweza kuwa hasira?

Chozi husababishwa na nini?

Ni kitu gani husukuma machozi kutoka?

Je ni wakati gani wewe hutoa chozi?

Kuna baadhi yetu hutoa chozi wakati wa furaha na wengine wakati wa huzuni.

Swali..

Umewahi kuonja ladha ya chozi kwa kutumia ulimi?

Posted by nyahbingi worrior. Wednesday, May 25, 2011

0 comments

Post a Comment

Followers

Popular Posts

Luihamu Ringo