Recent Posts

picha kwa hisani ya google.

Hii ndio nguo ya ndani kwasababu inaziba sehemu ya ndani ya mwili.

picha kwa hisani ya google.

Hiki ni kichekesho kwasababu sijui inaziba sehemu gani ya mwili

Posted by nyahbingi worrior. Wednesday, May 25, 2011

3 comments

 1. Yasinta Ngonyani anasema:
 2. hakika ni kichekesho kuvaa kamba ... afadhali sasa hata usivaa kabisa:-(

   
 3. emu-three anasema:
 4. Ni ili ionekane michirizi kuwa umevaa chupi...! Leo wakati twakatisha mitaa mbele yangu alikuwepoo dada mmoja kavaa yale magaunii laini sana, linabana, kwa namna hiyo unaona kile alichovaa ndani...na akitembea ndio basi tena.
  Kila kona miruzi ilianza kupigwa, siunajua tena macho hayana haya...nikajiuliza nini maana yake, huenda akasema ni fashion, lakini mbona haina tofauti na kubakia uchi!

   
 5. Kwani wewe Worrior Mkuu ungekuwa mwanamke ungeogelea na gaberdine? Mavazi ni mavazi tu, na yote inategemea na hali halisi mwanamama anavyojikutu kwa muda huo. Sisi hatuwezi kujaji hii inafaa lini au lini.

   

Post a Comment

Followers

Popular Posts

Luihamu Ringo