Recent Posts

Kila wiki blogu ya Worrior itakuwa inawaletea USAFI WA MWILI,njia zinazotumika kusafisha mwili,sehemu tofauti tofauti za mwili.

Kila sehemu ya mwili itakuwa inazungumziwa.

Pia worrior atazungumiz aina ya usafi wakati dada yangu akiwa katika siku zake au baada ya siku zake.

Pia worror atazungumzia usafi unaohitajika baada ya tendo la ndoa na kabla ya tendo la ndoa.

Pia worrior atazungumzia usafi baada ya mdogo wangu kwenda haja ndogo/kubwa na kabla ya kwenda haja ndogo au kubwa.

Nukuu,ikilazimika hata picha zitakuwepo kutilia msisitizo.

Posted by nyahbingi worrior. Friday, June 3, 2011

0 comments

Post a Comment

Followers

Popular Posts

Luihamu Ringo