Recent Posts

Kinyesi ni kinyesi tu hata kama kiwe cha PAKA,KUKU,NG'OMBE,MBUZI,KONDOO,MBWA,BIN ADAM n.k.

Kinyesi cha Binadam kinasikitisha na kutia kinyaa vile vile cha mbwa lakini kinyesi cha paka,mbuzi,ng'ombe,kuku,bata havitii kinyaa punde uwonapo tena inasemekana vinyesi hivi hutumika katika mashamba/mimea yetu kama mbolea.

swali.....

Kwanini kinyesi cha binadam kinatofautiana na cha mbwa,paka,ngombe kwa mtazamo wa kinyaa?

Naamini unaweza kukutana na kijana mtanashati au binti mrembo lakini aingiapo chooni kwa ajili ya haja kubwa,utashangaa.

Inasemekana,hakuna sharehe kubwa duniani kama KUNYA,pia inasemekana AKILI hutulia pindi husukumapo kinyesi kitoke tunduni.

Swali....

Kwanini kinyesi cha mtoto bin adam hakitii kinyaa kama kinyesi cha bin adam mtu mzima?

Swali..

Je,wewe na mimi twapenda vinyesi vyetu?

Posted by nyahbingi worrior. Thursday, July 14, 2011

0 comments

Post a Comment

Followers

Popular Posts

Luihamu Ringo