Recent Posts

Kuna wazazi ambao nawashangaa sana,haiwezekani mzazi mwenye akili timamu ufungie mafuta ya kupikia,unga,sukari n.k chumbani mwako.Haiingi akilini,mzazi mtum mzima mwenye uwezo wa kuzaa na kulea anafungia vitu kama hivo chumbani.

Posted by nyahbingi worrior. Thursday, April 26, 2012

2 comments

  1. Yasinta Ngonyani anasema:
  2. je? ni watoto wake kabisa? au ni mama wa kambo?

     
  3. Mija Shija Sayi anasema:
  4. Ukiangalia kwa makini utagundua huyo mzazi ana ugonjwa wa UMASIKINI WA FIKRA, huu ni ugonjwa mbaya sana kuliko Malaria au Ukoma!!

    Siku njema kaka.

     

Post a Comment

Followers

Popular Posts

Luihamu Ringo