Recent Posts

Muziki,lakini sio Bongo Fleva na Taarabu,hii ni aina ya muziki nikisikia tu kwa mbali napata kichefuchefu bila kusahau raga mafin.Haiingi akilini ujumbe katika muziki ni mapenzi tu na kukata mauno.

Mtakatifu anaweza kuma mtakatifu katika utakatifu wake na nirahisi kuma mtakatifu ughaibuni kuliko nyumbani kwasababu mazingira ya ughabuni yanaweza kukufanya uwe mtakatifu.

Mazazi anaweza kutamani mtoto wake awe mtu fulani katika jamii lakini inakuwa ndivo sivyo labda ughaibuni kwakuwa mtoto aliyelelewa ughabuni hawezi kuishi nyumbani kwakuwa kalelewa katika mazingira ya kilaptop,kibaga,kipiza nk.

Pia.....

Mruka sarakasi anaona ni dili sana kwenda kura sarakasi ughaibuni kuliko nyumbani.

Niacheni niendelee kusikiliza Chant downbabylon kulizo kuendelea kuwaelimisha.

Posted by nyahbingi worrior. Thursday, May 3, 2012

0 comments

Post a Comment

Followers

Popular Posts

Luihamu Ringo