Recent Posts

Hapa pana tatizo.Haiwezekani haiingi akilini mwanafunzi wa primary/secondary amiliki simu ya mkononi kwasababu huyu ni mwanafunzi,atapata wapi hela ya vocha kama sio chanzo cha kujiingiza katika mahusiano ya NGONO ZEMBE.(hivi ngozo zembe ikoje)?

Hapa sasa ndio pana tatizo kubwa.Mtu mwenye akili timamu hawezi kumiliki simu ya mamilioni ya shilingi huku anaweka vocha ya Tzs 500.

Nilikuwa Bagamoyo wakati fulani,nikakutana na mama mmoja mtali kutoka majuu,akaniuuliza...why is everyone having a mobile phone here?

Hawa wanaotusambazia teknolojia,wanageuka na kutushangaa.


Posted by nyahbingi worrior. Tuesday, May 15, 2012

0 comments

Post a Comment

Followers

Popular Posts

Luihamu Ringo